Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
- Thread starter
-
- #41
20,000/= @Kwani yeye amekwambia anadaiwa shilingi ngapi za kusapua? Mpe tu,, ndo hali halisi hiyo unafikri dogo atakula wapi?
Ana masomo mangapi? Mmmmh,, watoto wetu hawaridhikia hawa hata umtunze kama yai mzinga lazima akupige tu!! Hapo si ajabu kanalenga 100,000/=20,000/= @
Acha kukariri kila chuo na utaratibu wake,,,,, wew ndio zuzu sasaAcha uzuzu! Wewe ulilipia rufaa ya kutaka sap yako ipitiwe upya ili kama kulikuwa na makosa ya usahishaji itolewe. HUKULIPIA MTIHANI WA SAP ZAKO.
thumb upAcha kukariri kila chuo na utaratibu wake,,,,, wew ndio zuzu sasa
hauna akiliSuprementary = Supplementary
Niko mzumbe. Ni kweli tunalipia ,ni 20000 bila kujali idadi ya sup ulizonazo.Heshima nyingi na za dhati kwa wanajukwaa wote!
Nina kijana wangu anasoma Mzumbe Chuo kikuu (Anasomea Sheria)
Naomba kujua hii mitihani ya Supplementary je inalipiwa pesa na kama inalipiwa ni kiasi gani?
Naomba kujua maana hawa vijana wa siku hizi mizinga mingi bila kujali hali ya mdororo wa uchumi kwa watanzania wengi.
Asanteni.
Usikate kiuno kushangilia kitu usichokijua!thumb up
Unaongea nini wewe niko MU third year wanalipa supp vizuri sanaaaa....U
Usikate kiuno kushangilia kitu usichokijua!
Mzumbe hawalipishi mitihani ya sup, kinacholipiwa ni rufaa dhidi ya sap.
zuzu kiwango cha lami.sibishani tena na wewe..U
Usikate kiuno kushangilia kitu usichokijua!
Mzumbe hawalipishi mitihani ya sup, kinacholipiwa ni rufaa dhidi ya sap.
Itakuwa ndo huyuNpo mzumbe third year, sup mzumbe inalipiwa elf 20 kwa paper
Unajikuta unaakili sanaaaaa!!!!!Hiyo inategemea chuo unachosoma kuna ambao chuo kinahitaji kulipia hiyo mitihani ya marudio na kuna baadhi ya vyuo hawahitaji malipo kwa ajili ya hiyo mitihani, lakini huyo kijana wako hadi anapata supp alikuwa mgonjwa au ndio ukilaza wenyewe mkulu aliyosema?
upo sahihi kabisa mkuu ila sidhani kama wanafunzi wote wapo hivyo, ni baadhi tu na maranyingi ni wale wasiojitambua vyemaShida ya madenti wengi mnatumia pesa za kupewa vibaya,Fiesta Dar iliudhuriwa na madenti kibao japokuwa kiingilio kilikuwa kikubwa,wengine wanahonga/tongozea pesa za wazazi wao au boom,ndio maana wazazi wengi tumeamka hakuna "free lunch"
Wengine wananunulia "ngada"pesa za kupewa halikadhalika boom.
Sup paper mzumbe zinalipiwa mkuu, cc tupo huku usibisheTofautisha kulipia Rufaa/Appeal na kulipia kurudia mtihani!
Kinacholipiwa ni kukata rufaa na siyo sitting for sup paper.
Inalipiwa mkuu labda kama unaongelea sup za diploma ya ualimu lakin university unalipa tena mfano KIU ni tsh 40,000/= perMitihani ya suplimentary hailipiwi,au hata maana ya suplimentary haujui