Mitihani ya Research ethics inafanyikaga wapi hapa Tanzania?

Mitihani ya Research ethics inafanyikaga wapi hapa Tanzania?

6321

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
649
Reaction score
1,123
Habari ya mchana!

Sehemu gani wanahusika na mitihanni ya research ethics kwa hapa Tanzania, pia niingependa kujua gharama na jinsi ya kujisajili.
 
Hii kitu sio Kama unavofikiria huwezi kuwa as individual yakupasa kuwa chni ya mwavuli /shirika ama taasisi inakuwakilisha wewe kwanza hakuna mtihani WA kuwa Mtafiti ila kuna sheria na miongozo ya tafiti za Afya, kilimo, uchumi, ardhi
 
Back
Top Bottom