Mitihani ya majaribio darasa la saba

Mitihani ya majaribio darasa la saba

mbwadinho

Senior Member
Joined
Jun 29, 2016
Posts
180
Reaction score
102
Habari wakuu naomba mwenye link yenye mitihani ya majaribio darasa la saba .natanguliza shukrani
 
Mitihani tu ya wanafunzi mfano kwa masomo ya kingereza ,hisabati,sayansi n.k
 
Unaomba link ya nini haswa maswali au/na majibu? Yaani ya iliyopita?
 
Mitihani yenye maswali tu hususan majaribio na mitihani ya mock
 
Habari wakuu naomba mwenye link yenye mitihani ya majaribio darasa la saba .natanguliza shukrani
Mkuu wee Yann wakati watto wanafanya mitihani wiki ijayo ng'ombe hanenepi siku ya mnada[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Mkuu wee Yann wakati watto wanafanya mitihani wiki ijayo ng'ombe hanenepi siku ya mnada[emoji12][emoji12][emoji12]
Hahaaha.. Ticha kazingua huyu aisee.
 
Back
Top Bottom