jong 255
Member
- Jul 31, 2017
- 98
- 49
Nimetengwa na ndugu na marafiki apo zamani nilikuwa namarafiki wengi na ndugu pia walinipenda.
Ila cha ajabu saiz naweza kusema sina marafiki kabisa baadhi ya ndugu pia wamenitenga ninachekwa kwa mambo yauongo nadhalauliwa kilamtu ananiongelea vibaya kwa maneno tu yakuskia kwa watu
Nashukuru mungu kuna baadhi ya watu tunaheshimiana na kunabaadhi ya ndugu pia wanipenda
Mwenyezi mungu naomba aendelee kunipa nguvu nipambane na maisha yangu sitaki kumwangalia mtu anijalie katika njia zangu za maisha.
Naamini ipo siku wote wanaonicheka,kunidhalau,kunidhalilisha na kunisimanga watabaki vinywa wazi.
Nimeathilika kisaikolojia siwezi kumuamini mtu naona kama wote in walewale.
Ninachoamini duniani tunapita namuomba mungu azidi kunijalia niishi vyema mpaka atakapo nichukua...
Asanteni na usiku mwema..mungu awabariki.