pcman JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 742 Reaction score 189 Oct 6, 2010 #1 Wadau nimepata nafasi ya kuwahoji madogo wanaofanya mitihani ya kidato cha nne.Hali inaonyesha mitihani inapatikana.Maana maswali wanayokujanayo wenzao ndio hayo wanayakuta ndani ya chumba cha mtihani.Shame on Us.
Wadau nimepata nafasi ya kuwahoji madogo wanaofanya mitihani ya kidato cha nne.Hali inaonyesha mitihani inapatikana.Maana maswali wanayokujanayo wenzao ndio hayo wanayakuta ndani ya chumba cha mtihani.Shame on Us.