Nawatakia kila la kheri wanafunzi wa kidato cha nne ambao wameanza mitihani yao ya kumaliza elimu ya ngazi hii. MUNGU mwenye rehema na neema awatangulie katika mitihani hii.
Nawatakia kila la kheri wanafunzi wa kidato cha nne ambao wameanza mitihani yao ya kumaliza elimu ya ngazi hii. MUNGU mwenye rehema na neema awatangulie katika mitihani hii. Amen
Nimepata habari kuwa sasa hivi kuna mitihani tofauti kati ya private candidates na school candidates. Sijui kama hii itapunguza wizi wa mitihani au la?
Inaweza kuwa ujinga mkubwa tu manake ukizoea hii tabia baadae itakugharimu sana maishani mwako utazoea kuiba iba na kupenda kupewa vitu pasipo ku-struggle sasa mwisho wake ni kutoa rushwa na kuishia kutoa rushwa kwenye kila jambo.
Jitahidi kujiandaa kwa kila jambo hii itakusaidia kuacha kutpenda kutumia nyenzo na kutokuwa tegemezi