Habari zenu ndg zngu. Jaman naomben kwa anayejua vizuri kuhusu muda ambao Mtu aliyefany stage 4 na kufaulu masomo yote pengine hakuwez kuunga stage 5 ya mwsho kwa wakati huo huo je dead line ni miaka mingapi anawez kukaa bila kwnda na akaendelea na stage ya mwisho?! In short je kuna muda maalumu tokea alivyofanya hyo stage moja mpk ingne?! Tukizingatia sylubus imebadilishw kW ss naomb mwenye uelewa mzuri anieleweshe.thanks!