Aliyetunga wimbo wa 'it is well with my soul', alimaliza.
Safi! Mtazamo chanya juu ya maisha
When life gives you lemons...make lemonade! 🙂🙂🙂
nishasikia the stroy behind the song,jamaa alifiwa na familia nzima..
Mhhh kuna majaribu mengine yasikie tu kwa watu,ukiwa na roho nyepesi yatakushinda..
Kwani mpaka uitwe Mkuu!? Kama una neno la kuongeza basi fanya hivyo.
Wote mliochangia thread hii mmesahau kitu kimoja muhimu sana. Mtu
atakuwa na very strong will na determination ya kufaulu kwenye maisha,
lakini linapotokea la kutokea kama ilivokuwa kwa bwana Mitchel, kiwango
cha huduma ya afya itolewayo kwenye nchi ni muhimu mno.Baada ya
kuburuzwa na gari kisha moto kulipuka, angekuwa anaishi tuseme - Tanzania -
huo ndo ungekuwa mwisho wake na ndoto zake. Motivational stories
zenye kuhusisha kupona ajali kubwa ni stori zifaazo kwenye nchi zilizoendelea
na si hapa kwetu ambapo dawa za kawaida kabisa hazipatikani hospitali.
make mwarobainade :A S 109:..na maisha yakikupa mwarobaini??