Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,468
- 40,821
Hawahesabiki kirahisiKwa hiyo kwa haraka haraka ukipiga hesabu umechinja kuku wangapi mpaka Sasa hivi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we ni konyo mzee baba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unaogopa majirani wenzako...Sisi ambao tumepanga?
ila muda mchacheDuh kwl maisha ni safari ndefu
Hata ID aiwezi kua OG usiwe kiaziTafuta picha halisia iyi inajulikana jomba.
Haha haha kitimoto inabidi uwe na deepfreeze unajaza nyama unakaanga kilo1 kwa kila mremboNa wanaofuga kitimoto je!?
Wanakuja nazo wenyewe nikiweka khanga ndani wataogopaHiyo khanga kaja nayo au ni za kwako mkuu.[emoji41][emoji41][emoji41]
Kabisa. Katisha[emoji23][emoji23][emoji23]we ni konyo mzee baba
Asifiaye mvuaUtoto rahaa