Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,513
- 287,013
Unajua , unaweza kutumia polisi kudhibiti chadema , cuf etc , lakini ni ngumu sana kuwatumia kuwadhibiti wanaccm wenzako .Kwa kweli kwa jinsi hali ilivyo, wacha mitandao ianze mapema ili 2020 pachimbike tu.
Kwa sasa majina yanahifadhiwa kwanza ili kuepuka utumbuaji .Mwanahalisi bila kutaja ni akina nani wanaounda mitandao hiyo, kivipi na wanajipangaje, habari yako ina kosa mashiko, hakuna asiyejua kuwa kila baada ya uchaguzi, watu huanza kujipanga upya taratibu na kuanza mikakati ya uchaguzi unaofuata.
Kweli..Unajua , unaweza kutumia polisi kudhibiti chadema , cuf etc , lakini ni ngumu sana kuwatumia kuwadhibiti wanaccm wenzako .
Mitandao ya wanaotamani kuwa viongozi wa juu wa Tanzania , hasa nafasi ya Urais imeanza kuundwa.
Wanaotajwa kuundwa kwa mitandao hiyo ni baadhi ya mawaziri waandamizi wa serikali ya Rais John Magufuli na wale walioshindwa kupata uteuzi katika serikali hiyo mpya.
Hatua ya Mawaziri hao inaakisi mienendo aliyopitia Dk Kikwete kabla ya kuwa kiongozi mkuu wa Tanzania.
Dr Kikwete aliwahi kukiri kuwa alitumia muda mrefu kuhakikisha anaweka mikakati na kuwa na mtandao ambao ulimuweka ikulu .
" Kura zangu hazikutosha mwaka ule , lakini sikulala , nilianza kupambana siku ile ile na baada ya miaka 10 , hatimaye kura zikatosha .
Chanzo - MwanaHalisi .
Swali - Mitandao hii ni kwa ajili ya 2020 au 2025 ?
Kumbuka MwanaHalisi leo hii wameomba radhi kwa kuandika uongo.
Wakati wana CCM wanaandaa mitandao wenzao wa vyama vya upinzani kuna viongozi wametamka bayana kuwa watagombea nafasi ya rais 2020. Hawa ni wakweli mioyoni mwao na wanawapa nafasi wapiga kura fursa na muda wa kuwatathimini kabla ya uchaguzi.Mitandao ya wanaotamani kuwa viongozi wa juu wa Tanzania , hasa nafasi ya Urais imeanza kuundwa.
Wanaotajwa kuundwa kwa mitandao hiyo ni baadhi ya mawaziri waandamizi wa serikali ya Rais John Magufuli na wale walioshindwa kupata uteuzi katika serikali hiyo mpya.
Hatua ya Mawaziri hao inaakisi mienendo aliyopitia Dk Kikwete kabla ya kuwa kiongozi mkuu wa Tanzania.
Dr Kikwete aliwahi kukiri kuwa alitumia muda mrefu kuhakikisha anaweka mikakati na kuwa na mtandao ambao ulimuweka ikulu .
" Kura zangu hazikutosha mwaka ule , lakini sikulala , nilianza kupambana siku ile ile na baada ya miaka 10 , hatimaye kura zikatosha .
Chanzo - MwanaHalisi .
Swali - Mitandao hii ni kwa ajili ya 2020 au 2025 ?
Kutokana na habari hii unamaanisha nini?
Ni kweli wacha wajipange.nilikula ban mkuu moyo uliniuma sanaKwa sasa majina yanahifadhiwa kwanza ili kuepuka utumbuaji .