Mitandao ya simu za mkononi inatuibia

Mitandao ya simu za mkononi inatuibia

nkanaRedi

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2015
Posts
487
Reaction score
125
Habari za asubuhi wana jamvi, nimepatwa na mshtuko katika siku za hivi karibuni kuhusiana na mienendo ya makampuni ya simu za mkononi. Huko nyuma ilikuwa ukiingiza vocha pasipo kujiunga na kifurushi au ukabakiza kiasi baada ya kujiunga, baada ya muda mfupi utakuta salio lililobaki limeisha pasipo kujua limetumikaje.

Ukiwauliza wahusika watakuambia eti kama simu yako ina access na internet basi kuna message zinajituma automatically hadi salio linaisha. Siku moja niliacha salio la shs 5,000/= nikisema ningejiunga baadaye, nilivyokuja kutahamaki salio lilikuwa tayari limeondoka.

Na ukiwauliza TCRA wanakushauri uwasiliane na kampuni husika ikishindikana uwasiliane nao kwa barua hadi kufikishana kwenye vyombo vya sheria alimradi unakuwa mlolongo mrefu wa ufuatiliaji na usumbufu mtupu.

Sasa hivi situation imekuwa mbaya zaidi, hata ukijiunga na kifurushi ukiongea kidogo au ukikaa pasipo kuongea utakuta kifurushi kimeisha kabla ya muda wake.

Yaani kama ni ya 24 hrs kifurushi kinaisha kabla ya muda huo kufika. Ninawauliza wanajamvi wenzangu na nyinyi tatizo hili mnalipata. Na kama lipo nini hasa chanzo chake.

Na TCRA wanaemaje maana hatujatangaziwa kama tariff zimepanda.
 
Mkuu unachosema ndio nilichokutana nacho jana usiku nimeweka vocha ya Airtel nikaenda kulala, asubuhi nataka kupiga simu eti kifurushi kimeisha, ni wizi mtupu.
 
Habari za asubuhi wana jamvi, nimepatwa na mshtuko katika siku za hivi karibuni kuhusiana na mienendo ya makampuni ya simu za mkononi. Huko nyuma ilikuwa ukiingiza vocha pasipo kujiunga na kifurushi au ukabakiza kiasi baada ya kujiunga, baada ya muda mfupi utakuta salio lililobaki limeisha pasipo kujua limetumikaje. Ukiwauliza wahusika watakuambia eti kama simu yako ina access na internet basi kuna message zinajituma automatically hadi salio linaisha. Siku moja niliacha salio la shs 5,000/= nikisema ningejiunga baadaye, nilivyokuja kutahamaki salio lilikuwa tayari limeondoka.Na ukiwauliza TCRA wanakushauri uwasiliane na kampuni husika ikishindikana uwasiliane nao kwa barua hadi kufikishana kwenye vyombo vya sheria alimradi unakuwa mlolongo mrefu wa ufuatiliaji na usumbufu mtupu.

Sasa hivi situation imekuwa mbaya zaidi, hata ukijiunga na kifurushi ukiongea kidogo au ukikaa pasipo kuongea utakuta kifurushi kimeisha kabla ya muda wake. Yaani kama ni ya 24 hrs kifurushi kinaisha kabla ya muda huo kufika. Ninawauliza wanajamvi wenzangu na nyinyi tatizo hili mnalipata. Na kama lipo nini hasa chanzo chake. Na TCRA wanaemaje maana hatujatangaziwa kama tariff zimepanda

TIGO tokea jana asubuhi line yangu imeharibika nimeenda JMALL Wakasema sytem hakuna leo asubuhi nimeenda nikaambiwa katoe copy jaza fomu nenda nayo system hakuna ikirudi uje maswali
1:nitajuaje kama system imerudi
2:unanijazisha fomu ya nini wakati system hakuna
3:inawezekanaje mtoa huduma kama tigo asiwe na huduma kwa siku mbili mfululizo?
4:au ni politics
 
Nasikia Siku Hizi Vifurushi Sio 24hrs Tena!! Bali Ni Mpka Saaa 12:00Am.

Lakini si ingekuwa vizuri basi wakatutaarifu kabla ili wateja tufahamu,maana kwa kufanya kimyakimya namna hii ni sahihi kabisa kusema wanatuibia!!! Au wana ajenda zingine za siri?
 
Nasikia Siku Hizi Vifurushi Sio 24hrs Tena!! Bali Ni Mpka Saaa 12:00Am.

Kwenye matangazo yao wamepandisha bei za huduma zao. Kwenye simu bado bei za vifurushi ni zile za hapo awali. Udanganyifu huo hufanya wateja kujiunga na huduma zao kwa matarajio ya being nafuu, kumbe ndo wanaliwa. Tujitahadhali na wizi huu.
 
Kwenye matangazo yao wamepandisha bei za huduma zao. Kwenye simu bado bei za vifurushi ni zile za hapo awali. Udanganyifu huo hufanya wateja kujiunga na huduma zao kwa matarajio ya being nafuu, kumbe ndo wanaliwa. Tujitahadhali na wizi huu.

january makamba alipokuwa mbunge tu alikemea sana udanganyifu na wizi wa makampuni ya simu.amepewa wizara hiyo hiyo ya mawasiliano sasa hivi kimyaaa!
 
Kama hujajiunga namkifurushi nanhaya masmart phone zenu. Ukiweka kijivyocha chako zima data. La sivyo utaona unaibiwa daily
 
Dear mimi Hua natumia internet pale nikitaka nawasha data nikiwa sins kaz nazima data ajabu nazima data still tatizo la kuibiwa lipo pale pale niliwapigia tigo jibu walilonipa ndo wakanchosha kabisa eti nimejiunga na huduma ya hadithi nikawauliza link hawana majibu nkawauliza tens mbona hadith zenuewe sisimuliwi wakanambia asante kwa kutumia tigo wakakata wanakera wallah
Kama hujajiunga namkifurushi nanhaya masmart phone zenu. Ukiweka kijivyocha chako zima data. La sivyo utaona unaibiwa daily
 
Hahaha tigo kimeo my dear.....
Nakumbuka niliweka hela kila baada ya muda inakatwa....kwa hasira na line nikatupa.



Dear mimi Hua natumia internet pale nikitaka nawasha data nikiwa sins kaz nazima data ajabu nazima data still tatizo la kuibiwa lipo pale pale niliwapigia tigo jibu walilonipa ndo wakanchosha kabisa eti nimejiunga na huduma ya hadithi nikawauliza link hawana majibu nkawauliza tens mbona hadith zenuewe sisimuliwi wakanambia asante kwa kutumia tigo wakakata wanakera wallah
 
Hahaha tigo kimeo my dear.....
Nakumbuka niliweka hela kila baada ya muda inakatwa....kwa hasira na line nikatupa.

Sasa hivi bajiunga vifurush vya mda mrefu halafu nawaachia 00 kwenye salio ilifikia hatua hats tigo pesa ikawa naogopa kuacha hela nikaza kama ww nituoe line nikaona solution Ni kuacha sifuri kwwnye salio ukiweka vocha unajiunga paaap hawapati kitu
 
huu wizi sasa ni mkubwa kama mafisadi wa siasa....TIGO KINARA...VODA MWISHOWE ZAIN

vile vifurushi vya siku wamebadili sio 24hrs tena bali ni saa sita usiku vinaisha .taarifa yao inatangazwa kirahis tuu .Tanzania shida sana wakiamka bundle wanabadili ukijiunga nalo linaisha haraka

kwa sasa gharama za simu ni juu hasa kwa hizi smart phone.ukinnua vocha usipojiunga on spot salio linakatwa..data ikiisha bila kujua salio la kawaida linaondoaka kwa speed za ajabu
 
Bongo hatujui nani atàtutetea na hujuma hizi!!!?
 
Back
Top Bottom