Nimepatwa na mshangao kuona nlikuwa nikipata gb 1 kwa buku jero.Na tigo hivyo hivyo ila leo paap! Naona tigo mb 900 na vodacom mb 800 .kama vile wameambiana kupunguza mb .au huko kwenye mitandao ya simu vita ya ukrain pia imewaathiri.
Kuna mama mmoja huwa ananipitishia uji kikombe kimoja buku,leo kapita kaniambia bukujero,nikamwuliza kulikoni,kanijibu vita baba huko Ukraine hahahaha



dadeki