M Mfumwa JF-Expert Member Joined Aug 29, 2008 Posts 1,455 Reaction score 45 May 4, 2009 #41 Mkuu X-PASTER ahsante sana kwa hili andiko, Mola akuzidishie.
Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,158 Reaction score 9,172 May 4, 2009 #42 Mmm haya mambo mengine sio vizuri kuwarithisha watoto.Wanaweza kusahau kusoma na kujiendeleza halafu baadae wakaanza kumlaumu Nyerere hakuwatendea haki. Duuh
Mmm haya mambo mengine sio vizuri kuwarithisha watoto.Wanaweza kusahau kusoma na kujiendeleza halafu baadae wakaanza kumlaumu Nyerere hakuwatendea haki. Duuh