Mitandao itulipe na sisi

miamia7

Senior Member
Jan 11, 2016
195
191
Ni mawazo tu, baada ya kuona jana mitandao kupigwa faini kwa huduma mbovu kwa wateja na mengineyo nimeona ni vyema wakaangalia na sisi wateja walituhudumia chin ya viwango wanatulipaje fidia najua wengi sana wameumizwa na haya mamitandao,sasa ni vyema watuangalie na sisi tuliopoteza pesa zetu kwa upuuzi wao.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom