Yaani hadi natamani nifute YouTube na Instagram kwa sm yangu aisee[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]1. Youtube
2. Instagram
3. Wassap (groups)
4. Software auto updates
Ongezea nyingine tujue namna ya kupambana na MB 8!
Wassap hahaha haki ya Mola wangu walahiWassap ndo upi huo mkuu
Inategemea na Quality uliyoweka.YouTube mb aziend kiivo
Dah we kama mie, terrarium na kissasian ilikuwa inanilia sana mb zangu.Terrarium tv..
Kissasian
Hawa ndio mashetan kwangu
Tumia TTCL siyo wezi na wala hutohangaikia mitandao inakula bundle wala nini.1. Youtube
2. Instagram
3. Wassap (groups)
4. Software auto updates
Ongezea nyingine tujue namna ya kupambana na MB 8!
hadi mimi??Siwapendiiiiii jf nzima
Labda estagram mkuuistagram ndiyo upi huo
Huyo dogo ni kiazi asikuumize kichwa
Nmemaanisha hao wawilihadi mimi??
Download Free Basics by Facebook 8.2 APK | APKPure.comDadavua mkuu
basi sawa ila jf ni burudani tuNmemaanisha hao wawili
But u r not able to attach anythingJF ni bure kabisa masaa 24 ..0.freebasics.com
Hio ni kifurushi cha chuo au?Ha ha ah wewe jamaa kama mimi.
Ila kuna moja buku nne wanakupa whatsapp, youtube , instagram kwa mwezi mmoja
Labda km unatumia airtel ila hawa mavi wengine halotel na tigo lisaa hutoboi hata kama una gb 2YouTube mb aziend kiivo
Ttcl mb zinadumu kuliko hawa jamaa wengine? Vipi kuhusu speed?Tumia TTCL siyo wezi na wala hutohangaikia mitandao inakula bundle wala nini.
Shida ni kuwa huwa siinjoy kabisa huko freebasics, naona loading ya pages huwa nzito sana. Naitumiaga incase bundle limenikatikia muda ambao maduka yashafungwaJF ni bure kabisa masaa 24 ..0.freebasics.com
Avatar yako nimeiweka kwenye dp yangu ya what's app niliipenda