Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
Hata JF1. Youtube
2. Istagram
3. Wassap (groups)
JF ni bure kabisa masaa 24 ..0.freebasics.comHata JF
Sites ambazo ni text rich formats huwa hazili bundle. Unaweza kuperuzi JF na 3MB siku nzima...Hata JF
Mtakatifu hapo labda Ni bundle la kitakatifuJF ni bure kabisa masaa 24 ..0.freebasics.com
Kwahyo wewe hapa umeingia bila mbJF ni bure kabisa masaa 24 ..0.freebasics.com
Hapa ndo MB zangu huishia.Hata JF
Siwadanganyi.Mtakatifu hapo labda Ni bundle la kitakatifu
Sio hapa tu. Miaka yote mimi na browse bure kabisaKwahyo wewe hapa umeingia bila mb
Wassap ndo upi huo mkuu
Siwadanganyi.
Mimi 24/7 nipo JF buree kabisa.
Ha ha ah wewe jamaa kama mimi.JF, BBC, ESPN, Wikipedia ni kupitia tigo freebasics inanitoaga sana.
Mwezi ukiisha unajiunga na Whatsapp mwezi kwa 2,000/=, then unakomaa na free basics tu.
Ha ha ah wewe jamaa kama mimi.
Ila kuna moja buku nne wanakupa whatsapp, youtube , instagram kwa mwezi mmoja