W WikiLeaks Member Joined Nov 30, 2010 Posts 10 Reaction score 5 Mar 16, 2011 #1 Mitambo ya Kampuni ya kufua umeme ya Dowans, tayari imeshauzwa nje (Cyprus) kinachosubiriwa sasa ni kumalizika kwa taratibu za kimahakama dhidi ya Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco) iliyoko Mahakama Kuu ya Tanzania.
Mitambo ya Kampuni ya kufua umeme ya Dowans, tayari imeshauzwa nje (Cyprus) kinachosubiriwa sasa ni kumalizika kwa taratibu za kimahakama dhidi ya Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco) iliyoko Mahakama Kuu ya Tanzania.
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,347 Reaction score 5,555 Mar 16, 2011 #2 Udaku tu! Umeitoa wapi hii?
Kamkuki JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 1,957 Reaction score 1,431 Mar 16, 2011 #3 Wacha muchezo!!!!! ...sema haki mungu?