Mitaani: Ni Ijumaa ya lala salama....

What is the interpretation of this section? Sheria inaposema "familia na unyumba wake" it implies restriction at the area of premise and not in the streets.
 
Mi nafikiri hiki kisehemu kinazungumzia kuvunjwa kwa heshi, to me does not mater kama umevunjiwa heshima au umejivunjia heshima
 
Ni Ijumaa nzuri ambapo mifuko yote imetuna na "vijisenti"...
Ngoja niku PM nikupe no yangu unitumie kiasi, maana mimi huku bado mpk ifike tarehe 40 ya mwezi huu ndiyo tunapata mshahara. kwa kuwa wewe wangu najua utanitoa kiasi.:smile-big::smile-big::wink:
 
Ngoja niku PM nikupe no yangu unitumie kiasi, maana mimi huku bado mpk ifike tarehe 40 ya mwezi huu ndiyo tunapata mshahara. kwa kuwa wewe wangu najua utanitoa kiasi.:smile-big::smile-big::wink:

Jamani Lisa, nimesema mifuko ya Bujibuji ndo imetuna na vijisenti. Mimi bado haijatuna....
 
Jamani Lisa, nimesema mifuko ya Bujibuji ndo imetuna na vijisenti. Mimi bado haijatuna....
Wiyelele ulivyoongea kwa upole, inaonyesha unaogopa sana kuchunwa, Loh! si umesema mifuko imetuna pale , basi mm nikajua wewe, haya bwana siku nyingine,! najua unaninyima sawa bwana, na mm nikipata zangu nitakunyima.:crying::crying::crying:
 
Hii no 2 imenichekesha sana. mi nawacheka wanaume ambao hawana nguvu ila wameoa ma Bruce Lee! Kitu cha kwanza, niliangalia iwapo mke akikasirika, je ataweza kunitwanga? Nikaoa mfupi! Hapo ndo nikaharibu. Ningejua, ningejua, tena ningejua nisingeoa mfupi. Ningeoa mwembamba kidogo (asiwe na wembamba wa kukosa lishe!), na mrefu ambae angenifikia kwenye maskio yangu. maana mi ni mrefu navutia kinoma!

Hata nawaonea huruma wanawake... Unakuta mtu mwembamba, kaolewa na jitu hilo lenye kitaaambiii! Au mwembamba kaolewa na li tyson eti ndo linajua mambo! Hahahha! we acha bwana! Sasa likikasirika ndo unaskia limemvunja mtoto wa watu, likaenda segerea bure na huyo my wifu wake kaperekwa Muhimbili kushonwa shonwa majeraha!
 
Wiyelele ulivyoongea kwa upole, inaonyesha unaogopa sana kuchunwa, Loh! si umesema mifuko imetuna pale , basi mm nikajua wewe, haya bwana siku nyingine,! najua unaninyima sawa bwana, na mm nikipata zangu nitakunyima.:crying::crying::crying:

Japo mifuko haijatuna, sikosi ya Kitimoto na baridi moja Kimara! :smile-big:
 
Japo mifuko haijatuna, sikosi ya Kitimoto na baridi moja Kimara! :smile-big:
Haya nitaku PM nijue leo uko wapi, ili nije ninywe za baridi mbili, mm kiti moto situmii.Ila baba K akitukuta nitamwambia wewe ni mzoa mataka taka, Je uko tayari kuitwa hivyo?
 
Basi hata mm sikufai maana nami ni Mfupi kama mkeo, Loh!
 
Basi hata mm sikufai maana nami ni Mfupi kama mkeo, Loh!

Sidhani kama we ni mfupi maana ulichangia sana kwenye mada ya "matatizo ya watu wafupi". Usingeweza kujisema mwenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…