philosophy
Senior Member
- Nov 11, 2012
- 104
- 42
Lengo la makala haya, ni mwandishi kujaribu kuunga mkono baadhi ya watanzania ambao wamejaribu kupigia kelele ufundishaji wa falsafa katika mfumo wetu wa elimu. Kwa hiyo ni mapaendekezo ya kutaka serikali kupitia wizara ya elimu kuanzisha somo la falsafa katika elimu yetu kwa ustawi bora wa taifa letu.
Kwa mawazo na maoni juu ya maarifa ya mambo mbalimbali tuwasiliane kwa:
alcherwega@ymail.com
0758149715
Kwa mawazo na maoni juu ya maarifa ya mambo mbalimbali tuwasiliane kwa:
alcherwega@ymail.com
0758149715