Mkuu pole sana kwa tatizo hilo cha kwanza ukiona ivo isogelee mita yako then bonyeza Button za keypad 1 then ok itarudisha power ikikataa hapo jua kuna temper wasiliana na tanesco wakupe clear temper, Nini chanzo cha tatizo hilo mara nyingi sana mita hizo huzuia umeme kuingia ndani pale unaporudi na nguvu sana au Kudetect uwepo wa load nyingi ukiona umeme umezima Basi hakikisha unazima vifaa vyako mkuu ili Kuepuka hio kadhaaa