yungsteval JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 309 Reaction score 109 Feb 22, 2014 #1 twendeni mtwara wajameni tukachukue ardhi kule......kutakuwa hakushikiki baadae...for more info gazeti la mwananchi la tar 21 feb....
twendeni mtwara wajameni tukachukue ardhi kule......kutakuwa hakushikiki baadae...for more info gazeti la mwananchi la tar 21 feb....
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Feb 22, 2014 #2 Mitaa gani hizo bei, maana mtwara ya sasa si ya enzi zile!
Malignant Tumor Senior Member Joined Apr 12, 2013 Posts 190 Reaction score 99 Feb 22, 2014 #3 Kiongozi hueleweki,unaandika kama darasa la pili bwana,(twendeni mtwara wajameni tukachukue ardhi kule......kutakuwa hakushikiki baadae), ndio maana yake nn?
Kiongozi hueleweki,unaandika kama darasa la pili bwana,(twendeni mtwara wajameni tukachukue ardhi kule......kutakuwa hakushikiki baadae), ndio maana yake nn?
yungsteval JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 309 Reaction score 109 Feb 22, 2014 Thread starter #4 Malignant Tumor said: Kiongozi hueleweki,unaandika kama darasa la pili bwana,(twendeni mtwara wajameni tukachukue ardhi kule......kutakuwa hakushikiki baadae), ndio maana yake nn? Click to expand... gazeti la mwananchi la jana lina info zote.....asante
Malignant Tumor said: Kiongozi hueleweki,unaandika kama darasa la pili bwana,(twendeni mtwara wajameni tukachukue ardhi kule......kutakuwa hakushikiki baadae), ndio maana yake nn? Click to expand... gazeti la mwananchi la jana lina info zote.....asante
V visa gold Member Joined Sep 12, 2013 Posts 41 Reaction score 4 Feb 22, 2014 #5 Samahanin jaman mita ya mraba ni hatua ngap ya mtu mzma?!
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Feb 22, 2014 #6 visa gold said: Samahanin jaman mita ya mraba ni hatua ngap ya mtu mzma?! Click to expand... Inategeea na urefu wa "mtu mzimwa" mwenyewe, wastani kama hatua moja hivi.
visa gold said: Samahanin jaman mita ya mraba ni hatua ngap ya mtu mzma?! Click to expand... Inategeea na urefu wa "mtu mzimwa" mwenyewe, wastani kama hatua moja hivi.
S steve lee Member Joined Mar 21, 2013 Posts 68 Reaction score 5 Feb 26, 2014 #7 Mkuu umeshapata??mi nahitaji sana