Mita ngapi za kitambaa zilitumika???

Huyu sio Ntuzu kweli akifuatilia deal lake la kuuza tyre hapo kariakoo
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha miaka ya 70 kuna mtu alienda kwenye duka la kijana wangu kwa lengo la ushonewa suruali ili akagombee nayo ubunge kule kwao. Walishindana bei na kijana wangu baada ya mteja wake huyo kudai anataka upana wa miguu ya suruali, uruhusu ateembee hatua mbili ndipo suruali ianze kusogea.

Nilicheka sana hasa baada ya kijana wangu kujibu, "samahani suruali za aina hii ya kwako, hatushoni hapa".
 
Watu wenye mbwembwe kwenye uvaaji kama hivyo huwa wanakuwa na tantalila sana...

Hakawii kukushika masikio na kukuingiza mjini dakika sifuri, na wengi huwa hawalali njaa...
 
Huyu namjuwa anaitwa CHURA yupo pale mwenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…