Kimsingi si kwamba Misukule haiumwi hapana,ni watu Kama watu wengine isipokua wamefungwa kimwili&kiakili kutokuamua chochote,kuhsu maisha yao,maisha ya Misukule imeandamwa na na tabu,majonzi,matesa na kadhalika life span ya kuishi kwa msukile hutegemeana na Aina ya bosi aliyenaye Ila wanakufa mufa sana,kutokana na shurba wanazokutana nazo ktk pilika pilika za kila siku ktk maisha yao