Cesc Henry Sn
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 217
- 123
Kuelekea msimu wa 2017/18 timu ya Yanga mabingwa mara 3 mfurulizo wa Vodacom Premier League wakiwa hadi sasa hawajielewi bajeti ya timu kwenye kujiandaa msimu mpya kuanzia kwenye usajili wa maingizo mapya na kubakisha wachezaji waliyo maliza mikataba yao.
Ikiwa hadi sasa kocha wao Mkuu Mzambia Luandamina bado kukabidhi report ya timu kwa msimu mpya, hofu iko kwa viongozi kutokana na Bw. Manji kuondoka na kuiacha timu, sasa kumekuwa hakueleweki ni namna gani wataweza kushindana kwenye msimu huu mpya ili kuendana na gharama za timu ikiwa haina vyanzo vya kueleweka ukiachana na udhamini mpya wa SportPesa...