Mistari gani unaukubali katika nyimbo yeyote.

Mistari gani unaukubali katika nyimbo yeyote.

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,966
Kuna huyu kijana anaitwa "YOUNG KILLER"

Nyimbo zake na mistari yake huwa naikubali sana.

Kama pale aliposema

Unaogopa nini toba,
We binti wacha uoga,
Ona unaguu la bia, halafu nguvu ni za soda,
Sura haishiki poda,
Unasifiwa na mawaki,
Kisha unaota mapembe utadhani umekula nyati......

Nyimbo inaitwa "UNAIYONAJE ft Hermonize.

Hebu tupia mstari unaoukubali kwenye nyimbo yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijarishi Nina magari, hata baisikeli, pia na nyonga, na mwanamke sioni hatari, ugali, pia nasonga,(king of rhymes)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ogopa kuoa haraka kama unaogopa talaka na ukivote in a hurry ujue unaproduce coruption.
 
You don't know who to trust
Your worst enemy could be your best friend
And your best friend your worst enemy

Bob ni noma sana
 
Nzu nzu eeeh mama nyukilia wewe,toka mbali kutafuta ua zuri kwa chakula...
 
Back
Top Bottom