Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,863
Uko sahihi.. sijaajiriwa.. na sifanyi shughuri inayoendana na fani niliyosemea ila elimu ndyo imenifungulia mrango wa shughuri ninayofanya sasa mpaka sasa naamini kila kitu hutokea kwa sababu fulani.. usiidharau elimu yako , unaambiwa elimu ni yale yaliyosalia baada ya kusahau kila kitu.. tumia kaelimu uliko bakiwa nako kanaweza kukutoa ukamake wonders umiza kichwa hauta jilaumu tena
Tafuta mistake nyingine. Kwenye elimu haujafanya mistake
Sent using Jamii Forums mobile app
Makosa ni kuto kupata elimu sahihi ya mahitaji yako...Kuwekeza nguvu kwenye elimu kwa kuamini elimu ni Bora kuliko fedha
Sent using Jamii Forums mobile app
R.. sijaajiriwa.. na sifanyi shughuri inayoendana na fani niliyosemea ila elimu ndyo imenifungulia mrango wa shughuri ninayofanya sasa mpaka sasa naamini kila kitu hutokea kwa sababu fulani.. usiidharau elimu yako , unaambiwa elimu ni yale yaliyosalia baada ya kusahau kila kitu.. tumia kaelimu uliko bakiwa nako kanaweza kukutoa ukamake wonders umiza kichwa hauta jilaumu tena
Tafuta mistake nyingine. Kwenye elimu haujafanya mistake
Sent using Jamii Forums mobile app
sure inauma sana mkuu.. tatizo tuliishi miaka mingi tukikariri kwamba ukisoma umeshayaweza maisha na lazima uajiriwe + mitaala mibovu imewaanda vijana kuajiriwa, mtu anasoma akili yake jnwaza kufanya kazi za watu tuu.. lazime liwe tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app