Miss you jamani

Karibu tena. Ukaguzi ndo umeshika hatamu. Lazima upate kaguo.

Ndo round ya ngapi ya ukaguzi?

Nawania nafasi ya ukaguzi kwa wababa,kwani nani anawakagua kwa sasa?
Maana naona hatamu ya ukaguzi ni kwa wamama tu. Why?
CC Asprin Baba V Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Bishanga umerudi karibu sana
Habari za utokako erick52 alisema eyi umefulia ndo maana hata hela ya kuingia humu ulikosa
 
Last edited by a moderator:
I mith yu tuu KOKUTONA!
Btw mwenzio The secretary kanipiga marufuku kuingia cc kisa wivu.

Mhhhhhh hadi mwili umetetemeka...ulikuwa wapi mzeee???

Tulisika umefilisika, mara umetekwa, mara umeweka rehani hadi nyumba.
Juzi juzi The secretary alisema anavua pendo.

We miss you a lot, mwambie asikufiche hivyo lol
 
Last edited by a moderator:
Bishanga ndo wewe au kuna mtu ka hack account yako??Karibu sana,tumekumiss sana.Shemeji The secretary kila siku analia sijui umeenda ulaya bila kumuaga!Karibu sana mkuu

Umenikumbusha ule wimbo tuliimbaga darasa la 5 km si la sita

"Karudi baba mmoja toka safari ya mbali...........

Sijui alikwa wapi mtu huyu.
 
Kwa sababu wanaume hawakaguliwi...... Hawakaguliwi kwa kuwa hawana safari ya kwenda mwezini kila mwezi....

Je zile ndoto nini sijui,,,mnazoota si ndo safari yenyewe, kwa nini msikaguliwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…