Miss world no i

How much does she weigh? What... 29kg? Ooh my god! She is out of BMI range!!....!!!
 
Is this supposed to be appealing to fashion fans? Thank God I am not one of them.
 
Wakaka si mnapenda portables nyie.. Haya portable hiyo unabeba hata kwa kidole!
 
nataka kuwa kama yeye,nifanyeje? maana hiki kitambi noma ila chips mayai siachi ng'o lol
 
Hii fashion show ilifanyika kwenye wodi gani ?
Asee!!!
hahahahahaaa!!!!
huyo hata nipewe na zile suti za jakaya, na kulipiwa ''guest rooms for private events'' pale Kempisky sitaki!!
 
nataka kuwa kama yeye,nifanyeje? maana hiki kitambi noma ila chips mayai siachi ng'o lol
usijaribu!!
utaanza kusema una nuksi bureee!!
hutapata ''dada habari yako'' kutoka kwa njemba!!
 
Huyu dizaini gani mbona hana paja? Migodi ya namna hii ni open pit, ina mashimo makubwa unaingia na gari bila kugusa kuta zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…