Nifah AKA karani wa Ufipa nae kaomba nambaMiss Tanzania ataka namba ya
Samatta
Mshiriki wa Miss Tanzania 2005 ambaye pia
ni mcheza fi lamu, Maureen Gislary.
Imelda Mtema,Dar es Salaam
MSHIRIKI wa Miss Tanzania 2005
ambaye pia ni mcheza fi lamu, Maureen
Gislary ameibuka na kutaka namba ya
simu ya mchezaji wa timu ya Taifa Stars
na Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo,
Mbwana Samatta kwa gharama yoyote.
Mbwana Samatta.
Akizungumza na Amani Sports, Maureen
aliyekuwa kumi bora katika
kinyang’anyiro hicho cha Miss Tanzania
kilichoshuhudiwa kwa Nancy Sumari
kuibuka mshindi alisema kuwa, nia ya
kuhitaji namba hiyo nikuhakikisha
anamuweka Samatta ‘kibindoni’ kabla
hajatimkia nje ya nchi.
“Kwanza nimefurahishwa sana na
ushindi wake wa Tuzo ya Mchezaji Bora
wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani
mwaka 2015, mwenye namba yake
tafadhalini naiomba kwa gharama
yoyote nitatoa,” alisema Maureen.
Ulaya yaDRC, hahaha.Eti anataka ampate kabla hajatimukia Ulaya!!!!!
MSHIRIKI wa Miss Tanzania 2005
ambaye pia ni mcheza fi lamu, Maureen
Gislary ameibuka na kutaka namba ya
simu ya mchezaji wa timu ya Taifa Stars
na Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo,
Mbwana Samatta kwa gharama yoyote.
Mbwana Samatta.
Akizungumza na Amani Sports, Maureen
aliyekuwa kumi bora katika
kinyang’anyiro hicho cha Miss Tanzania
kilichoshuhudiwa kwa Nancy Sumari
kuibuka mshindi alisema kuwa, nia ya
kuhitaji namba hiyo nikuhakikisha
anamuweka Samatta ‘kibindoni’ kabla
hajatimkia nje ya nchi.
“Kwanza nimefurahishwa sana na
ushindi wake wa Tuzo ya Mchezaji Bora
wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani
mwaka 2015, mwenye namba yake
tafadhalini naiomba kwa gharama
yoyote nitatoa,” alisema Maureen.
Kwa mfano huyu mwanamke ndio unamuita dada yako halafu unakuta habari hii kuwa anataka namba ya mtu fulani ili abinuliwe sijui utajisikiaje??? Dada zetu hawa siku hiz ni majanga" K " Za Kujipeleka Namna Hii Huwa Zimechoka Hadi Zimebadilika Na Mwonekano.
Hamjifichi😉?Ni.. 07126**374.. Alete papuchi nitamtajia tarakimu mbili nilizo ficha
😎naona mama huruma anataka atoe uroda kabla hajaombwa!Ukute mwenyew Samatta yupo humu humu anafuatilia kwanza mchezo unavoenda, mtoto mwenyewe bila kutongozwa anataka atoe papuchi kwa mbwana samatta.
Haaaa! Una wivu acha wamtunuku kijana mwenzio!" K " Za Kujipeleka Namna Hii Huwa Zimechoka Hadi Zimebadilika Na Mwonekano.
Ha ha ha inauma eeeh! Kila mwenye dada hakosi shemeji! Hata hiyo unayembinua wewe ana kakayake nae hajisikii vizuri sema hakufahamu tuu halafu haina namna!Kwa mfano huyu mwanamke ndio unamuita dada yako halafu unakuta habari hii kuwa anataka namba ya mtu fulani ili abinuliwe sijui utajisikiaje??? Dada zetu hawa siku hiz ni majanga
Sawa ila yeye hakujinadi mitandaoni kuwa ananitaka, vuta picha huwa amekuwa mdogo wako mkuu utajisikiaje???Ha ha ha inauma eeeh! Kila mwenye dada hakosi shemeji! Hata hiyo unayembinua wewe ana kakayake nae hajisikii vizuri sema hakufahamu tuu halafu haina namna!