palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Ningekuwa ni mimi huyu miss tanzania ningevua taji tu mwenyewe.....furaha imegeuka huzuni sasa..ni aibu ya mwaka. Yaani kivyovyote vile huyu dada sitti anawakati mgumu sana. Maana najua anasoma mitandao sana na anajua ni jinsi gani hakubariki na jumuiya ya watanzania . Pia hawezi kupewa support yoyote ile. Dada nakushauri vua tu hilo taji..ubaki na amani kwani kuwa miss tz ndo utaenda peponi...??
hivi authority za USA zikipelekewa taarifa kwamba huyu mrs Tanzania alikuwa anatembea na false documents zitachukua hatua gani?
Atanyongwa.
kuna ile clip yake ya mahojiano na waandishi wa habari kashindwa hata kujitetea anasema hajajiandaa kujibu maswali apewe mda na kakana kuwa na mtoto
kashindwa hata kuwapongeza sauti sol kwa kushinda best african act ya EMA wakati wao walimpa hadi happy b day? ahhhh dangoote nooma banaSiti bana ana nyota ya kuongelewaa huyuu kama Diamond
kashindwa hata kuwapongeza sauti sol kwa kushinda best african act ya EMA wakati wao walimpa hadi happy b day? ahhhh dangoote nooma bana
On the contrary kwa imani yake (nadhani ni muislamu) kuwa miss Tz ni kama vile anaelekea ruti ya motoni hivi.Ningekuwa ni mimi huyu miss Tanzania ningevua taji tu mwenyewe.....
Furaha imegeuka huzuni sasa.. ni aibu ya mwaka Yaani kivyovyote vile huyu dada sitti anawakati mgumu sana. Maana najua anasoma mitandao sana na anajua ni jinsi gani hakubariki na jumuiya ya watanzania .
Pia hawezi kupewa support yoyote ile. Dada nakushauri vua tu hilo taji..ubaki na amani kwani kuwa miss tz ndo utaenda peponi...??