.
Jinsi ya kukuza image - Picha ndani ya JF
Mkuu
stineriga unajua tatizo hizo picha huwa zipo kama
attachment = hivyo huwa ni ndogo. Ila kama uki-move mouse kwenye picha ukaona ina-maximise na kuwa kubwa fuata haya maelekezo
Kwa Crome web browser fanya hivi --- (ingawa the same can be done kwenye browsers nyingine)
Point mouse kwenye picha hiyo ndogo .... subiri iload ili iwe picha kubwa -
ikisha-load na kuwa kubwa -
RIGHT CLICK hiyo picha kubwa alafu chagua
"COPY IMAGE URL"
Ukisha-copy hiyo image URL ya picha kubwa iliyoload fungua sehemu ya ku-post mfano:
"Reply to Topic" ... yaani kama unapost normal katika JF
Chagua
ICON inayoitwa
INSERT IMAGE
Ikifunguka
pop-up window chagua
"FROM URL"
Untick "Retrieve remote file and reference locally" == yaani ondoa tick hapo
Bonyeza OK - then post
Utakuwa tayari umeshamaliza.
Jaribu ukikwama niulize tena ntakufafanulia
Pia nakumbuka
Tripo9 alishawahi kuniuliza hili swali - najua na yeye atakuwa amepata majibu hapa