kusufuria makoko
Member
- Mar 22, 2018
- 77
- 82
Ila mkuu mimi naona ni mtaji mzuri wamempatia. Maana kwa uzoefu, hapo Miss Mbeya ana uhakika wa kuingiza hadi sh 300,000/= kila mwezi.Wanawakatisha tamaa mabinti wanao tamani kuingia katika tasnia hiyo.
Ndio maana watanzania hatufanyi vizuri kimataifa
sawa na 10,000 kwa siku...! labda aendeshe mwenyewe!Ila mkuu mimi naona ni mtaji mzuri wamempatia. Maana kwa uzoefu, hapo Miss Mbeya ana uhakika wa kuingiza hadi sh 300,000/= kila mwezi.
mkuu hawa waletwe mjini wafanye biashara zao binafsi tuuMshind wa pili wampe chelean afungue kiwanda
Kweli vyuma vimeachia...sikuwahi kudhani kwamba kuna siku Miss wa mkoa atapata bodaboda
Kwani kwingineko mashindano kama haya ngazi ya mikoa huwa wanapewa nini hadi pikipiki ionekane jambo la ajabu sana?Wanawakatisha tamaa mabinti wanao tamani kuingia katika tasnia hiyo.
Ndio maana watanzania hatufanyi vizuri kimataifa
Chelean kazi yake nini?Mshind wa pili wampe chelean afungue kiwanda