Miss East Africa 2008

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667

Miss East Africa, Claudia Nuyimana akivishwa taji usiku wa kuamkia leo


Mshindi wa pili Annete Mwakaguo (kushoto) Mss East Africa, Claudio Nuyimana (katikati) na mshindi wa tatu, Anais Veerapatren


Annete Mwakaguo akipiga picha na waandishi wa habari wa burundi mara baada ya matokeo


Banana Zorro akitumbuiza jukwaani usiku wa kuamkia leo kwenye mashindano ya east africa


Majaji wakijumlisha maksi za washiriki


kutoka kushoto rahwa gjhidey, anais niragira na claudia nuyimana



kutoka kushoto anais veerapatren, annete mwakaguo,laura grenouille, claudia nuyimana na rahwa ghidey.


Baadhi ya top ten, kutoka kushoto ni Brigite Kaneza, laura Grenouille, Anais Veeraptren, Anais Niragira na claudia Nuyimana


Baadhi ya wasichana wakirundi waliokuwa wameshiriki Miss East Africa ngazi ya nchi ya Burundi katika picha ya pozi


Baadhi ya mawaziri wa serikali ya burundi wakiwa na familia zao wakifuatilia kwa makini shindano la miss east africa lililofanyika usiku wa kuamkia leo.

Claudio aibuka kinara miss East Africa
MREMBO wa Burundi Claudio Noyimana jana alijinyakulia gari aina ya Lexus lenye thamani ya zaidi ya sh milioni 40 lililotolewa na kampuni ya Sozmyya Dar es Salaam, baada ya kushinda taji la Miss East Africa.

Katika shindano lililofanyika kwenye hoteli ya Club Di Luc Tanganyika ya mjini hapa, nafasi ya pili ilichukuliwa na Mtanzania, Annete John Mwakaguo wakati nafasi ya tatu ilikwenda Mauritius kwake Anais Veerapraten.

Annete amejinyakulia dola za kimarekani 5000 wakati Anais amejinyakuliadola 3000 huku wote wakipata mkataba wa kufanya kazi na kampuni ya RenaEvents ya Dar es Salaam ambayo ndiyo iliandaa shindano hilo.

Picha zote kwa hisani kubwa ya Piter wa New Habari Media Group
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…