miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Nov 11, 2016 #241 mshana jr said: Ntakuongezea palipopanda Click to expand... okey hope unaongeza bure usije nitembelea usiku.. mtani halafu leo nimeota mdingi wangu kavuta halafu mi nimeamka naumwa vibaya mno .. watakuwa walikuja ?
mshana jr said: Ntakuongezea palipopanda Click to expand... okey hope unaongeza bure usije nitembelea usiku.. mtani halafu leo nimeota mdingi wangu kavuta halafu mi nimeamka naumwa vibaya mno .. watakuwa walikuja ?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,354 Reaction score 829,574 Nov 11, 2016 #242 miss chagga said: okey hope unaongeza bure usije nitembelea usiku.. mtani halafu leo nimeota mdingi wangu kavuta halafu mi nimeamka naumwa vibaya mno .. watakuwa walikuja ? Click to expand... Wameshafanya yao ila kama kibubu kimepona asavali
miss chagga said: okey hope unaongeza bure usije nitembelea usiku.. mtani halafu leo nimeota mdingi wangu kavuta halafu mi nimeamka naumwa vibaya mno .. watakuwa walikuja ? Click to expand... Wameshafanya yao ila kama kibubu kimepona asavali
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Nov 11, 2016 #243 mshana jr said: Wameshafanya yao ila kama kibubu kimepona asavali Click to expand... kibubu kipo salama
mshana jr said: Wameshafanya yao ila kama kibubu kimepona asavali Click to expand... kibubu kipo salama
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,354 Reaction score 829,574 Nov 11, 2016 #244 miss chagga said: kibubu kipo salama Click to expand... Afazali sana sasa kuhusu ongezeko la vat kwenye zulu usijali linazungumzika
miss chagga said: kibubu kipo salama Click to expand... Afazali sana sasa kuhusu ongezeko la vat kwenye zulu usijali linazungumzika
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,354 Reaction score 829,574 Nov 11, 2016 #245 miss chagga said: mi sitaki risiti kabisa Click to expand... Usiseme kwa sauti mtani
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Nov 11, 2016 #246 mshana jr said: Usiseme kwa sauti mtani Click to expand... sawa mtani nafuta
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Nov 11, 2016 #247 jje's said: nitamudu nahisi, wewe nipende tu hata uongo mie nifurahi loooh Click to expand... Stunter habari yako bana
jje's said: nitamudu nahisi, wewe nipende tu hata uongo mie nifurahi loooh Click to expand... Stunter habari yako bana
jje's JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 10,886 Reaction score 16,584 Nov 11, 2016 #248 Valentina said: Stunter habari yako bana Click to expand... Vale Vale acha hizo bhana loooh.
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Nov 11, 2016 #249 wambeke said: Amekutuma? Msifie huko huko pm Click to expand... Aii jamani weweee
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Nov 11, 2016 #250 jje's said: Vale Vale acha hizo bhana loooh. Click to expand... Eeh kuna ubaya kumsalimia shem wangu kwani?
jje's said: Vale Vale acha hizo bhana loooh. Click to expand... Eeh kuna ubaya kumsalimia shem wangu kwani?
wambeke JF-Expert Member Joined Aug 30, 2013 Posts 2,655 Reaction score 2,650 Nov 11, 2016 #251 Valentina said: Aii jamani weweee Click to expand... Mdada nini tenaaa mbona unashangaa?
jje's JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 10,886 Reaction score 16,584 Nov 11, 2016 #252 Valentina said: Eeh kuna ubaya kumsalimia shem wangu kwani? Click to expand... kumsalimia bila kumweleza umbea ni sawa ila kwa namna hiii, ote mae
Valentina said: Eeh kuna ubaya kumsalimia shem wangu kwani? Click to expand... kumsalimia bila kumweleza umbea ni sawa ila kwa namna hiii, ote mae
M CM JF-Expert Member Joined Nov 25, 2012 Posts 2,498 Reaction score 1,482 Nov 11, 2016 #253 miss chagga said: nakupenda pia umukagame wapotezee wakikusema Click to expand... weka picha tukuone mamy
miss chagga said: nakupenda pia umukagame wapotezee wakikusema Click to expand... weka picha tukuone mamy
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Nov 11, 2016 #254 M CM said: weka picha tukuone mamy Click to expand... 😉
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Nov 11, 2016 #255 wambeke said: Mdada nini tenaaa mbona unashangaa? Click to expand... Si huo mkwara wako jamani. Eti akamsifie pm lol
wambeke said: Mdada nini tenaaa mbona unashangaa? Click to expand... Si huo mkwara wako jamani. Eti akamsifie pm lol
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Nov 11, 2016 #256 jje's said: kumsalimia bila kumweleza umbea ni sawa ila kwa namna hiii, ote mae Click to expand... Mbona kama unajistukia lakini... Kuna usalama kweli?
jje's said: kumsalimia bila kumweleza umbea ni sawa ila kwa namna hiii, ote mae Click to expand... Mbona kama unajistukia lakini... Kuna usalama kweli?
wambeke JF-Expert Member Joined Aug 30, 2013 Posts 2,655 Reaction score 2,650 Nov 11, 2016 #257 Valentina said: Si huo mkwara wako jamani. Eti akamsifie pm lol Click to expand... Eeh sasa sisi uzuri wa miss chaga unatuhusu nini? nani kamwambia kuna mashindano ya uzuri huku? Kama amempenda akamchukue wakanywe wote chai sio kuja kumsifiasifia hapa na wengine hatutaki kuingia ingia pm za watu
Valentina said: Si huo mkwara wako jamani. Eti akamsifie pm lol Click to expand... Eeh sasa sisi uzuri wa miss chaga unatuhusu nini? nani kamwambia kuna mashindano ya uzuri huku? Kama amempenda akamchukue wakanywe wote chai sio kuja kumsifiasifia hapa na wengine hatutaki kuingia ingia pm za watu
jje's JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 10,886 Reaction score 16,584 Nov 11, 2016 #258 Valentina said: Mbona kama unajistukia lakini... Kuna usalama kweli? Click to expand... upo mkubwa kabisa na ana habari zote.
Valentina said: Mbona kama unajistukia lakini... Kuna usalama kweli? Click to expand... upo mkubwa kabisa na ana habari zote.
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Nov 11, 2016 #259 wambeke said: Eeh sasa sisi uzuri wa miss chaga unatuhusu nini? nani kamwambia kuna mashindano ya uzuri huku? Kama amempenda akamchukue wakanywe wote chai sio kuja kumsifiasifia hapa na wengine hatutaki kuingia ingia pm za watu Click to expand... Ha haa we nimekustukia... Unaogopa utashawishika kuzama pm
wambeke said: Eeh sasa sisi uzuri wa miss chaga unatuhusu nini? nani kamwambia kuna mashindano ya uzuri huku? Kama amempenda akamchukue wakanywe wote chai sio kuja kumsifiasifia hapa na wengine hatutaki kuingia ingia pm za watu Click to expand... Ha haa we nimekustukia... Unaogopa utashawishika kuzama pm
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Nov 11, 2016 #260 jje's said: upo mkubwa kabisa na ana habari zote. Click to expand... Sikuamini wewe hebu muite