Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,721
Nani aliyekupa kibali cha kudiskasi vipozeo vya watu wewe....
sinaga muda wa kutathimini watu ambao hata mtaa haiwajui
Mzima best miss chagga anacheki mechi finali atakuja hapa
nipe update za mechi dear
Bila bila best kipind cha pili
Ukisikia Germany tumefungwa kesho sitokuja kijieweni
Bila bila best kipind cha pili
Ukisikia Germany tumefungwa kesho sitokuja kijieweni
hahahaha mokoyo anajua hilo aandae dose ya kushusha presha mapema
hahahaha ngoja Matola aje lol
Miss neddy!
nambie spade