lilykaybee
Member
- Jul 9, 2007
- 27
- 16
Habari za kazi wanajamii forums
Leo mchana nimekuta miss call toka namba hii +1 (646) 205-0801, nilipojaribu kuipiga nikajibiwa na recording machine kuwa " I have reached immigration USA, if blah blah .....,,". Nimejiuliza maswali mengi sana. Je kuna aliyewahi pata kitu kama hichi? Ni matapeli? Ni USA kweli? Nina hamu ya kujua. Nimefuata maelekezo nikabonyeza namba 1 lakini baada ya hapo simu inaita tu.
Naomba anayejua au aliyewahi kukuta namba hii anijulishe tafadhali.
Natanguliza shukurani