Bizney veve mutu ya wapi
Mwenyezi Mungu ana majaribu mabaya jamani
View attachment 181161huyu ndio miss vantu nani anabishaaa????
Huyo mwngine a kichina
Pole inaelekea, na kama jioni huna uhakika wa kupata chakula cha usiku ndio utaishia kuhesabu migongo ya bati kwa sie tunaokaa nyumba ambazo hazina dari maana usingizi unakata na kitu kimeweka pozi la kidumu chama cha....................
Kamebaki kale kaugonjwa kako ka kupenda miguu, sijui ndio miguu ya biaha ha ha haaaaaaaaaa,kuna dawa nimepewa ninywe huo ugonjwa sasa kwishneeiiiiiiiii
Tumtupie na hiiView attachment 181396
Hii inaitwa lenzi mbinuka...Tumtupie na hiiView attachment 181396