wambura marwa JF-Expert Member Joined Mar 7, 2015 Posts 2,171 Reaction score 1,130 Aug 9, 2016 #2 mi simo, [emoji125][emoji125]
nyumbatatu JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 1,076 Reaction score 940 Aug 10, 2016 #3 Kasifiwa ana mbio...!, kapitiliza kwao!. Umeweza ku-zoom kiuno cha dada wa watu, ukuta umekushinda matokeo yake umekuchongea!
Kasifiwa ana mbio...!, kapitiliza kwao!. Umeweza ku-zoom kiuno cha dada wa watu, ukuta umekushinda matokeo yake umekuchongea!
iw8 JF-Expert Member Joined Jun 3, 2016 Posts 366 Reaction score 293 Aug 10, 2016 #4 Mkuu mimi nilisha amini kuhusu Umbile la huyo dada Sema ile jicho kuchaboraizi ukuta. Mmmmh akili ika sense positive Kwamba nimedanganywa mchana jua kali kweupeeeee. Mkuu kamilisha kazi yako Inakaribia kunoga
Mkuu mimi nilisha amini kuhusu Umbile la huyo dada Sema ile jicho kuchaboraizi ukuta. Mmmmh akili ika sense positive Kwamba nimedanganywa mchana jua kali kweupeeeee. Mkuu kamilisha kazi yako Inakaribia kunoga
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,070 Aug 10, 2016 #5 nyumbatatu said: Kasifiwa ana mbio...!, kapitiliza kwao!. Umeweza ku-zoom kiuno cha dada wa watu, ukuta umekushinda matokeo yake umekuchongea! Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nyumbatatu said: Kasifiwa ana mbio...!, kapitiliza kwao!. Umeweza ku-zoom kiuno cha dada wa watu, ukuta umekushinda matokeo yake umekuchongea! Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,085 Reaction score 8,409 Aug 10, 2016 #6 Mizigo ya ulaya hii!!
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 20,146 Reaction score 40,912 Aug 10, 2016 #7 Mjomba uliye edit...umeusahau ukuta.....rudi shule.....
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,110 Reaction score 75,567 Aug 10, 2016 #8 Mwalimu wa GE na LL_ said: Click to expand... Saburi kama piriton
vollies JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 748 Reaction score 446 Aug 10, 2016 #9 Mkuu inaelekea we una makengeza aisee kwenye kamera unahangaisha macho tulia unyooshe picha
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,298 Reaction score 4,863 Aug 10, 2016 #10 Photisho, ume edit hiyo pcha, angalia ukuta