Misri yampa masaa 48 Balozi wa Qatar awe amefungasha virago na kuondoka nchini humo

Kama vipi qatar ajiunge zake na north korea, russia, china, gurudumu litasonga tu then mwisho wanafiki watashindwa
 
Fact without doubt. Marekani anapenyeza fitna kuivuruga Qatar lakini tusubiri naamini hatua atakazochukua Qatar dhidi ya marekani watalegeza wenyewe hao vibaraka wa wamarekani. Uzuri ni kwamba Iran yupo na Qatar bega kwa bega .
Huo uhasama wa Qatar na US ni wewe ndio unawatengenezea mbona US wana military base yao pale Doha na kuna makampuni mengi ya technology na mafuta na gas kutoka US yanawekeza Qatar.
 
Kama vipi qatar ajiunge zake na north korea, russia, china, gurudumu litasonga tu then mwisho wanafiki watashindwa
Sawa, atajiunga nao lakini kwa dhumuni gani??? Qatar anawahitaji Saudia, UAE na Bahrain kuliko chochote sababu hao ndio majirani zake na ndio wateja wakubwa wa gas yake tena ashukuru vikwazo vilivyowekwa ni vya kidiplomasia na kiusafiri vikiwekwa vile vya kiuchumi extensively Qatar amekwisha.
 
Kwa kweli Qatar wamewekeza sana UK kwa sasa wana majumba zaidi ya royal family ya Uingereza
Wazee mabilionaire wa kizungu wameweweseka kwa kuziona hela zao na kuamua kuwauzia hotel zao zote.

Sijui USA ana mpango gani maana UK wanasema kama ni kufadhili extremist hata Saudi Arabia wanawafadhili sana tu Lakini kwa kuwa wana biashara nao kubwa hawaweza ongea neno besides sijui Al Saud walipandikizwa kutoka wapi God knows.
 
Huo uhasama wa Qatar na US ni wewe ndio unawatengenezea mbona US wana military base yao pale Doha na kuna makampuni mengi ya technology na mafuta na gas kutoka US yanawekeza Qatar.
Ohoooo huwajui wamarekani wewe.
 
Sawa, atajiunga nao lakini kwa dhumuni gani??? Qatar anawahitaji Saudia, UAE na Bahrain kuliko chochote sababu hao ndio majirani zake na ndio wateja wakubwa wa gas yake tena ashukuru vikwazo vilivyowekwa ni vya kidiplomasia na kiusafiri vikiwekwa vile vya kiuchumi extensively Qatar amekwisha.
Kila mtu anamuhitaji mwenzake.
 
Hahaha labda anaijambisha kwa matamko me sijaona chochote cha kushtua zaidi ya drama
Muulize Donald Trump who is Kim atakwambia. Hamna drama pale ni mwendo wa kurusha makombora tu . marekani ameufyata.
 
Pole, imerikodiwa baada ya masaa machache 10% biashara imeshuka tayari.

Alafu unamaanisha Qatar inaipita UAE kiuchumi au ni mimi sijakuelewa?

Kwa taarifa yako tu Qatar kwa Saud Arabia ni kama wilaya ya Ilala kwa Tanzania sio hata Zanzibar.
Huijui Qatar wewe.
 
Sijaelewa hapa hebu nifafanulie najua Qatar ni tajiri kuliko zote duniani ila ni nchi ndo ukilinganisha na Saud Arabia
 
Nani kakudanganya! Take time to reason
Qatar is a high income economy, backed by the world's third largest natural gas reservesand oil reserves.[22] The country has thehighest per capita income in the world. Qatar is classified by the UN as a country of very high human development and is the most advanced Arab state for human development.[23] Qatar is a significant power in the Arab world, supporting several rebelgroups during the Arab Spring both financially and through its globally expanding media group, Al Jazeera Media Network.[24][25][26] For its size, Qatar wields disproportionate influence in the world, and has been identified as a middle power.[27][28] Qatar will host the2022 FIFA World Cup, becoming the first Arab country to do so.[29]
 
Haijui Qatar huyo. Katika nchi za kiarabu hakuna anayesimama nae kiuchumi.
Population wananchi wa Qatar ata million.3 hawafiki ni sawa nakuichukua Dar peke yke kwa tanzania ndo maana unasema uchumi wao mzuri ni kutokana na idadi ndogo..Qatar hawana nguvu kimataifa kam ufkiliavyo,unajua Qatar airway inaingiza pato la nchi kiasi gani.?sas imefungiwa kupaa kwenye anga ambazo ndo alikuwa ndo wateja wake wakubwa..sijui unategemea nn.?
 
Qatar ka nchi katamu sana.

Doha-skyline-night-homepage.jpg

%7BF87B08B5-A97A-4D41-BF7D-D7EC271C9741%7DiStock_000057744476_XXXLarge.jpg

Doha-Qatar.jpg

peral-01-detail.jpg
 
Population wananchi wa Qatar ata million.3 hawafiki ni sawa nakuichukua Dar peke yke kwa tanzania ndo maana unasema uchumi wao mzuri ni kutokana na idadi ndogo..Qatar hawana nguvu kimataifa kam ufkiliavyo,unajua Qatar airway inaingiza pato la nchi kiasi gani.?sas imefungiwa kupaa kwenye anga ambazo ndo alikuwa ndo wateja wake wakubwa..sijui unategemea nn.?
Nguvu ya uchumi wa nchi haipimwi kwa idadi ya watu peke yake. Inapimwa kwa rasilimali zilizopo na biashara inayofanyika. Mbona sisi tuko milioni karibu hamsini lakini ni masikini wa kutupwa.
 
Qatar kiuchumi iko vizuri kuliko nchi zote hizo. Hawataathirika kwa lolote
Sio kweli kama unajua mfumo wa Uchumi wa qatar huwezi Sena hawata athirika.athari zipo hasa kwa raia wa kawaida gharama za maisha zitapanda.raia watakuja kuandamaana na kumtoa kiongozi wao.issue kubwa kiongozi huyu hakubaliani na Sera za trump na pia aliwashawishi nchi hizo ziwe poa na iran.jiulize kwanini imetokea tu baada ya trump kutembelea huko.
 
Athari zitakuwepo lakini Qatar anaweza kuzi contain kwa sababu ana pesa. Pili kama unafuatilia tayari Iran umeanza Ku supply chakula kupeleka Qatar.athari ni kwa pande zote.
 
Athari zitakuwepo lakini Qatar anaweza kuzi contain kwa sababu ana pesa. Pili kama unafuatilia tayari Iran umeanza Ku supply chakula kupeleka Qatar.athari ni kwa pande zote.
Atahari ni kubwa ndio maana mfalme au emir wa Qatar anaenda kuonana na king salman bin abdulaziz wa saud arabia ili kuweka mambo sawa.mfumo wa Uchumi ni open economy ndio maana wanategemeana
 
Trump noma sana. Kila apitapo lazima aache kizaazaa nyuma huko; hapana budi mtifuano uwepo ndama wakipoteana na wazazi wao pale simba akatizapo. Hiyo ni ishara ya mamlaka na ukuu.
 
Back
Top Bottom