MISRI: Vikosi vya Wanajeshi vyawauwa Waasi 52 na kuwakamata wengine 49 huko Sinai

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
IMG_20180805_155702.jpg

Vikosi vya Majeshi Misri vyaripoti kuwauwa wanamgambo 52 wa vikosi vya Waasi katika eneo la Sinai

Katika oparesheni hiyo, takribani Wanamgambo 49 wamekamatwa. Pia maficho 26 yameharibiwa pamoja na silaha.

Aidha, vikosi vya Misri vimefanikiwa kuharibu makombora 64 na magari 32 yaliyokuwa yamebeba milipuko

Serikali ya Misri ilianzisha oparesheni maalumu ya kupambana na Waasi mnamo mwezi februari mwaka huu

Waasi wamekuwa wakipambana na Serikali mara baada ya kuangushwa kwa Serikali iliyokuwa ikiongozwa na chama cha Ujamaa wa Kiislamu chini ya Rais Mohammed Morsi

======

CAIRO — Egypt says its security forces have killed at least 52 suspected militants in recent days in the restive northern Sinai Peninsula.

The military said in a statement Sunday that another 49 suspected militants have been arrested. It says it destroyed 26 hideouts and weapons depots, and dismantled 64 explosive devices.

The military says airstrikes destroyed 32 vehicles containing weapons and ammunition in the Western Desert and in the south.

It wasn't possible to independently confirm the claims as access to the northern Sinai is heavily restricted.

Egypt launched a nationwide operation against militants in February. It has struggled to combat a long-running insurgency in the Sinai that gained strength after the military overthrew a divisive Islamist president in 2013 and which is now affiliated with the Islamic State group.
 
Back
Top Bottom