Yusomwasha JF-Expert Member Joined Dec 5, 2014 Posts 2,092 Reaction score 844 May 19, 2015 #1 Nahisi kuna mkono wa israel kuhusu hukumu dhid ya morsi nahisi ndo italeta vuguvugu la wamisri endapo morsi atanyongwa
Nahisi kuna mkono wa israel kuhusu hukumu dhid ya morsi nahisi ndo italeta vuguvugu la wamisri endapo morsi atanyongwa
mzushi JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 3,094 Reaction score 4,256 May 19, 2015 #2 Umeandika utumbo gani huu
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,802 May 19, 2015 #3 Morsi anyongwe mara ngapi. Sheria ikisema unyongwe ni kunyongwa tu. Morsi hana chake tena Misri. Hili ni katika kuwanyamazisha Muslim Brotherhood katika vugu vugu lao, maana nahisi walikuwa wanaamini Morsi ipo siku atarudi kuwa Rais wa Misri.
Morsi anyongwe mara ngapi. Sheria ikisema unyongwe ni kunyongwa tu. Morsi hana chake tena Misri. Hili ni katika kuwanyamazisha Muslim Brotherhood katika vugu vugu lao, maana nahisi walikuwa wanaamini Morsi ipo siku atarudi kuwa Rais wa Misri.