Misingi ya kuishi pamoja

kisangant

Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
20
Reaction score
18
*MISINGI YA KUISHI PAMOJA:*


1. Ukifika Sehemu...... *Salimia*
2. Ukiondoka Sehemu...... *Aga*
3. Ukisaidiwa..... *Shukuru*
4. Ukiahidi. *Tekeleza*
5. Ukikosea.... *Omba Msamaha*
6. Kama Hujaelewa..... *Uliza*
7. Unacho... *Gawa Kwa Wengine*
8. Huna.... *Usione Donge*
9. Ukivunja.... *Lipa*
10. Kama Hupendi...... *Heshimu*
11. Ukipendwa... *Onesha Upendo*
12. Huwezi Kusaidia... *Usisumbue*
13. Ukiharibu... *Rekebisha*
14. Ukikopa.... *Lipa*
15. Wakikuuliza .... *Jibu*
16. Ukiwasha....... *Zima*
17. Ukifungua...... *Funga*
18. Ukinunua.... *Lipa*
19. Ukichafua.. *Safisha*
20. Ukipungiwa..... *Punga*
21. Ukipewa.... *Shukuru*
22. Ukiazima... *Rudisha*
23. Huna kitu... *Muombe Mola akupe*
24. Ukipungukiwa..... *Omba msaada*
25. Wakifiwa...... *Kazike*
26. Mgonjwa...... *Kamuangalie*

*Ukizifuata kanuni hizi, utaona jinsi utakavyoishi na Watu vizuri.*
*Hata kama huna pesa, hii ni kwa Binaadamu wote, hata kama ni Kiongozi.*
 
Dunia imebadilika sana, ukiyatekeleza hayo ndio utaishi kwa taabu kuliko binadamu yeyote, amin nakwambia!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…