Wana JF bila shaka kwea weledi wa mambo wanafahamu misingi muhimu ambayo nchi ikiwa nayo huhesabika kuwa ina maendeleo au ili ifikie katika maendeleo inapaswa kuwa na misingi hiyo. Misingi hiyo ni ipi naomba mchango wenu. tuelimisheni wajuzi.

Ardhi na watu vipo lakini siasa safi na uongozi bora hakuna. Siasa chafu ndizo zilizotawala, wana CCM wanachapana makonde Live kwenye uchaguzi wa karibuni, huku bungeni nako wanasema: TUFUNGE MILANGO TUPIGANE.