Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 5, 2024 #121 Hii screenshot ya pili, picha ya kwanza kabisa naomba nione tafadhali Nourhan said: Kama nilivyosema na picha nyingi ni mishono maana kazi yangu ni kushona hivyo simu imejaa mishono na vyakula maana ni mpishi wa Biryani pia hivyo simu yangu ni mishono vyakula na interior design Click to expand...
Hii screenshot ya pili, picha ya kwanza kabisa naomba nione tafadhali Nourhan said: Kama nilivyosema na picha nyingi ni mishono maana kazi yangu ni kushona hivyo simu imejaa mishono na vyakula maana ni mpishi wa Biryani pia hivyo simu yangu ni mishono vyakula na interior design Click to expand...
Kiungopunda JF-Expert Member Joined Oct 24, 2023 Posts 1,415 Reaction score 3,334 Mar 5, 2024 #122 Mideko Katika ubora wako. Umetupia pocha nyingi kuliko mleta uzi au umeanzisha uzi kwa ID yako nyingine then unajijibu?😀😃😄😁😆
Mideko Katika ubora wako. Umetupia pocha nyingi kuliko mleta uzi au umeanzisha uzi kwa ID yako nyingine then unajijibu?😀😃😄😁😆
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,774 Reaction score 256,812 Mar 5, 2024 #123 Kiungopunda said: Mideko Katika ubora wako. Umetupia pocha nyingi kuliko mleta uzi au umeanzisha uzi kwa ID yako nyingine then unajijibu?😀😃😄😁😆 Click to expand... Kuwa na ID mbili ni moja ya kipaji 🤭😅 kipaji hicho sina
Kiungopunda said: Mideko Katika ubora wako. Umetupia pocha nyingi kuliko mleta uzi au umeanzisha uzi kwa ID yako nyingine then unajijibu?😀😃😄😁😆 Click to expand... Kuwa na ID mbili ni moja ya kipaji 🤭😅 kipaji hicho sina