Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,994 Reaction score 48,498 Jul 12, 2024 #423 Midekoo said: View attachment 3040253 Click to expand... Niletee mshono wa kuvaa harusi. Ila gauni refu natak niwashtue maana wamezoea mabaibui 😀
Midekoo said: View attachment 3040253 Click to expand... Niletee mshono wa kuvaa harusi. Ila gauni refu natak niwashtue maana wamezoea mabaibui 😀
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Jul 12, 2024 #424 Alafu nyie wahuni kweli kweli...mbona mishono yoye wanawake slim. Wekeni mishono ya matipwa tipwa wake zetu majumbani tunajua wana mitumbo bwana
Alafu nyie wahuni kweli kweli...mbona mishono yoye wanawake slim. Wekeni mishono ya matipwa tipwa wake zetu majumbani tunajua wana mitumbo bwana
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Jul 12, 2024 #425 Aaliyyah said: Niletee mshono wa kuvaa harusi. Ila gauni refu natak niwashtue maana wamezoea mabaibui 😀 Click to expand... Kuchangia tuu harusi za wenzio...kuolewa aaahhh 🤣🤣🤣🤣
Aaliyyah said: Niletee mshono wa kuvaa harusi. Ila gauni refu natak niwashtue maana wamezoea mabaibui 😀 Click to expand... Kuchangia tuu harusi za wenzio...kuolewa aaahhh 🤣🤣🤣🤣
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,994 Reaction score 48,498 Jul 12, 2024 #426 mzabzab said: Kuchangia tuu harusi za wenzio...kuolewa aaahhh 🤣🤣🤣🤣 Click to expand... 🤣🤣🤣Ngoja waende wakirudi mm ndo naenda
mzabzab said: Kuchangia tuu harusi za wenzio...kuolewa aaahhh 🤣🤣🤣🤣 Click to expand... 🤣🤣🤣Ngoja waende wakirudi mm ndo naenda
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,301 Jul 13, 2024 #427 Midekoo said: View attachment 3040252 Click to expand... Huu mshono, kuna mdada kashonaa, nguo imetoka vzuri, ila yeye haujampendezaa, huu unataka kdg mtu mwenye hips na guu la bia.
Midekoo said: View attachment 3040252 Click to expand... Huu mshono, kuna mdada kashonaa, nguo imetoka vzuri, ila yeye haujampendezaa, huu unataka kdg mtu mwenye hips na guu la bia.