Dodgers Gamers
Member
- Aug 20, 2025
- 80
- 98
Kuna mambo yananichanganya, mimi nlikuwa nafikiri mishipa ya mwili yote inafanana, lakini kuna baadhi ya watu naona wameni-prove wrong. Naona wako na mishipa yenye rangi ya KIJANI kama sio BLUU wataalamu mnijuze hiyo mishipa inapitisha damu nyekundu? Na je, ni kila mtu yuko na hiyo mishipa?