guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,814
- 2,762
Mkuu uko huko kwa sasa?Monduli
Shukrani kama umeiona fursaUmetoa dili la pesa. Ahsante
Niko mbali kabisa. Kuna jamaa hapa ana laki hajui afanye nini nishampa dili hili.mkuu uko huko kwa sasa?
Mwambie hii biashara hainaga hasara Sanasana ajitahidi ajumuie tangawizi,Limao na vitunguu swaumu vya kutosha,atafute jiko la kuchomea zuri na bei huwa ni kati ya 15k-25kNiko mbali kabisa. Kuna jamaa hapa ana laki hajui afanye nini nishampa dili hili.
Nitaufanyia kazi ushauli wako mkuuKwenye form ya bank ukiandika 25k unaweza kulipwa hela?
Nikushauri:-
Weka nidhamu unapoandika tarakimu za fedha.
Achana na vifupisho vya fesbuku.
Naomba kuelimishwa 15k k inasimama badala ya nini?Wakuu wasaalam,
Poleni na changamoto ya baa la korona. Mimi ni mchoma mishikaki ya ng'ombe inayotokana na nyama ile ya juu ya tumbo, ile yenye nyuzi nyuzi ijulikanayo kama Nemba.
Kwa hapa nilipo Nemba moja inakost kati ya 8k-12k. Na ukiikata vizuri inatoa mishikaki kati ya 100-200
Ukipata ng'ombe aliyenona mishikaki ufika hata 250. Hivyo ukitoa mkaa, viungo ,mishikaki ya nyongeza na gharama zongine ndogo,faida ipo na ni uwa kati ya 5k-15k
Kwa nia ya kukuza biashara yangu ningependa kujuzwa ni wapi naweza pata nyama hii kwa bei ya chini ya 10k?
Niko tayari kuhamia hapo ili kufanya kazi.
Meatu,Simiyu.
Nembe?
"000"Naomba kuelimishwa 15k k inasimama badala ya nini?
5k=5000,10k=10000,15k=15000Lakini K lazima ina kirefu Chake .kwa Hiyo any figure ikaishia 000 ina maana K?
Lakini K lazima ina kirefu Chake .kwa Hiyo any figure ikaishia 000 ina maana K?
Ahsante bado?! Harufi k ina maana gani? Kwa nini usiandike s au d au d?5k=5000,10k=10000,15k=15000
Hata miye ningependa kujua
Maeneo ya Masaki na Oysterbay mkuu!