Katika UN system, mishahara ya national staff ni tofauti sana na international staff kwa ngazi yoyote ile.
Kama unanegotiate mshahara na FOA au UN agency yoyote, uwe smart na usifanye kosa kujirahisisha maana ukiisha anza kazi sahau kure-negotiate mshahara.
Ebu bofya hapo: UN Salaries-Tanzania
Perdiem katika UN zinaitwa Daily Subsistence Allowance (DSA).
Waajiriwa wote katika ngazi zote wakisafiri, rate ya DSA ni moja. Kwa lugha nyingine, hakuna cha mkubwa na mdogo mnapokuwa katika safari za kikazi. Dereva anapata DSA sawa na Resident Representative wakiwa safari moja. DSA rates za UN ni nzuri sana ukilinganisha na employers wengi hapa nchini. Pia zinategemeana na exchange ya US $ ya mwezi husika na hulipwa ktk local currency.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.