Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
hawana mishahara mizuri ila dili ndiyo nyingi sana ni kazi za mda
naomba anayejua mshahara wa operational officer katika kampuni ya OLAM anijuze.
Hapa Bukoba wametangaza hizo nafasi na zipo kwenye notice board ya jengo la nssf karibu na kituo kikuu cha polisi.
Naomba taarifa wadau
Mishahara ni midogo ila madil ni mengi.. nimefanya nao kazi pia.walkua wanalipa 120,000/=
Olam,wanajishughulisha na nin?
ahsante mkuu.vp km ngap kwa mwezi
kama huna kaz changamkia hyo piga magumash wkt unatafta nyingne,ushaambiwa kuna mazabe!
naomba anayejua mshahara wa operational officer katika kampuni ya OLAM anijuze.
Hapa Bukoba wametangaza hizo nafasi na zipo kwenye notice board ya jengo la nssf karibu na kituo kikuu cha polisi.
Naomba taarifa wadau
Interview ya oral olam kanda ya bukoba ni jumanne saa 2 asubuhi jemgo la nssf zilipo ofc zao kanda ya bukoba...hongereni mulioitwa.
mkuu ina maana washaita ya oral? basi watakuwa wamenipga chini coz nilifanya written
120000/ mshahara usikutishe,kuna ishu nying za hela OLAM