.....mleta mada ana haki ya kutoa kile kilichoko rohoni mwake kwa vile ameguswa, sasa kuna aliyeuelewa wa hoja yake anaweza kujitokeza na kutoa ufafanuzi mzuri kuliko kumshambulia kwa maneno ya kejeli.
Ni kweli,mishahara inaonekana imechelewa karibia kwa Wafanyakazi wa sekta zote na si Walimu tu; kawaida mishahara inatoka kuanzia tarehe 25 ya kila mwezi, kwa vile hiyo tarehe ilikua ni Mapumziko(Maulid) inawezekana ndo ilichangia na mimi binafsi nilitarajia kufika tarehe 29 mishahara itakua tayari lakini cha kushangaza HAKUNA KITU, hapo sasa uhalali wa kuhoji ndo unapojitokeza
Kama mishahara ya Wafanyakazi imepelekwa Mtwara au Kasulu hilo litakua ni jambo lingine na litahitaji kutolewa ufafanuzi..
mashirika mengi huku Arusha mishahara uwa tunapata baada ya mwisho wa mwezi kupita,lakini kwa serikali hii inagonja wafanyakazi waadamane waunde tumeWadau mpaka sasa hivi huku mkoa wa njombe mishahara ya mwezi huu bado walimu hatujapata na hakuna taarifa zozote za kuchelewesha huo mshahara vipi pande zingine za nchi na sector nyingine?, pia vipi kuhusu ajira mpya za waalimu? Maana shule zetu hazina walimu wa kutosha.
ilichosahau ni kukubaliana na magamba kwamba uchumi wetu unakua kwa kasi mpyaUtumishi wa umma ni wito jamani wakati mwingine mtumishi ndio ajitolee kuisaidia serikali pale inapokwama na sio kila mara kuilalamikia serikali, Pia wafanyakazi nawaombeni mjifunze formula hii ya matumizi, kwamba matumizi= kipato - akiba. Unapopata mshahara hata kama ni mwalimu toa akiba kwanza then ndio utumie, hata kama mabaki ni kidogo hutakufa, then unapokuwa na shida ya ada ya shule au kama hivi mishahara inavyochelewa unakuwa huna haja ya kuhaha huku na kule kukopa, maana ya kukopa ni kutumia pesa ambayo hauna.
kama ahadi hizo zilitolewa na wana magamba,itakuwa hakuna tofauti na waliyoambiwa wana kigoma kwamba,mji wao utakuwa dubei,au wana mtwara kwamba mji wao utakuwa wa viwandaWadau mpaka sasa hivi huku mkoa wa njombe mishahara ya mwezi huu bado walimu hatujapata na hakuna taarifa zozote za kuchelewesha huo mshahara vipi pande zingine za nchi na sector nyingine?, pia vipi kuhusu ajira mpya za waalimu? Maana shule zetu hazina walimu wa kutosha.
Wadau mpaka sasa hivi huku mkoa wa njombe mishahara ya mwezi huu bado walimu hatujapata na hakuna taarifa zozote za kuchelewesha huo mshahara vipi pande zingine za nchi na sector nyingine?, pia vipi kuhusu ajira mpya za waalimu? Maana shule zetu hazina walimu wa kutosha.
Fuatilia mshahara wako kwa mwajiri wako, hapa ni JF
umesomeka.Utumishi wa umma ni wito jamani wakati mwingine mtumishi ndio ajitolee kuisaidia serikali pale inapokwama na sio kila mara kuilalamikia serikali, Pia wafanyakazi nawaombeni mjifunze formula hii ya matumizi, kwamba matumizi= kipato - akiba. Unapopata mshahara hata kama ni mwalimu toa akiba kwanza then ndio utumie, hata kama mabaki ni kidogo hutakufa, then unapokuwa na shida ya ada ya shule au kama hivi mishahara inavyochelewa unakuwa huna haja ya kuhaha huku na kule kukopa, maana ya kukopa ni kutumia pesa ambayo hauna.
Hii dhana ya SISI ndo inayowaponza,,,anza wewe uoneshe njia kwa wengine kwa KUDAI haki yako na maslahi yako yatimizwe kwa muda na wakati muafaka kwa usahihi pia..Ondoa SISI kwenye hili la kufa na njaa hamfi pamoja ama hamuui familia zenu kwa wakati mmoja bali kila mtu na uzito wa machungu yake...wenzio ni wake wa Wakurugenzi, Ma-DC, RAS, DAS, etc unadhani wanamuda wa kuwazia mishahara yao...unajilinganisha na mwalimu (mke wa TRAFFIC anayefaidi hela ya BARABARA...Dai haki ndugu wewe kama wewe kwanzan wenzio watafuata nyayo zakoMimi nshaa maliza longi nimebakisha ka_jero hakanunui hata kiroba! sisi wlimu ni makondoo sana kweli
".......Matumizi = kipato - akiba" "........kukopa ni kutumia pesa ambayo hauna".